Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐ nimecheka sana Mkuu.we fala mbona mi hujawahi kunichokoza hata mi napenda mchezo kama wako..
Ni mwanamke "walahi" .Sijaelewa kitu hivi ISIS ni mwanamke au mwanaume?
karibu mkuu tuongeze maisha..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana Mkuu.
Hahahaaa. Usijali Mkuu.karibu mkuu tuongeze maisha..
nimempiga mkwara tuh ila mi sio mchokozi mtu wa watu kabisa..Hahahaaa. Usijali Mkuu.
Ni vyema umemfahamisha ili kama yuko tayari akuchokoze. [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaaa. Lol.nimempiga mkwara tuh ila mi sio mchokozi mtu wa watu kabisa..
labda awe ananifuata kweny reply huwa sipostigi uzi ni nadra sana...sema huko huko akija akinikomoa na mi namkomesha tu siunajua hatumwachii mungu..Hahahaaa. Lol.
Ila mkwara ule lazima akujie kila utakapo post ili ahakikishe. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaaa. Kumbe we kweeeli unafaa kuchokozwa Mkuu. ๐๐๐๐labda awe ananifuata kweny reply huwa sipostigi uzi ni nadra sana...sema huko huko akija akinikomoa na mi namkomesha tu siunajua hatumwachii mungu..