Mimi humu jamvini nachokoza maksud nitukanwe tuanze ligi yani ndio furaha yangu ila wadau wameanza kuniipuuza

watu kama nyie nawatafutaga sana, anzisha nikutoe umaarufu mama,e
 
njoo kwenye league na mimi ndyo hapo utakapo jua aliyeweka chumvi baharini kuwa ni mimi
 
labda awe ananifuata kweny reply huwa sipostigi uzi ni nadra sana...sema huko huko akija akinikomoa na mi namkomesha tu siunajua hatumwachii mungu..
Hahahaaa. Kumbe we kweeeli unafaa kuchokozwa Mkuu. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Maana ako kastatement nilikokaweka red kamedhihirisha hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…