Kheri Hansen
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 1,025
- 1,238
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee hongera sana
Asante mkuuAisee hongera sana
Wapi pameandikwa hivyo mkuuduh...nikajua kua watu 500 wamekupanda he he heh
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo lenu neno "Like" halina shida, shida ni likitafsiriwa kwa kiswahili nikasema "penda/pendwa...."wamenipenda.....akili zenu zinakimbilia kwamba mm ni bwabwa, acheni izo wakuu...tumieni kswahili bila fikra potofu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatamimi nimefungua fasta fasta nikijua hivyo.duh...nikajua kua watu 500 wamekupanda he he heh
Nani amekuita bwabwa mkuuTatizo lenu neno "Like" halina shida, shida ni likitafsiriwa kwa kiswahili nikasema "penda/pendwa...."wamenipenda.....akili zenu zinakimbilia kwamba mm ni bwabwa, acheni izo wakuu...tumieni kswahili bila fikra potofu
kuna mjinga mmoja, kafuta commentNani amekuita bwabwa mkuu
cha kushangaza jamaa ka kanusha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatamimi nimefungua fasta fasta nikijua hivyo.
Wewe hupendi likes?Wewe lazima utakuwa ni mwanachama wa ule "Uzi maalum wa kupeana likes"
Yani hadi unazifuatilia likes
Zinakujaga tu automatically ila sijawahi kufikiria kuzihesabuWewe hupendi likes?
hahaaa hahaa JF haichoshiTatizo lenu neno "Like" halina shida, shida ni likitafsiriwa kwa kiswahili nikasema "penda/pendwa...."wamenipenda.....akili zenu zinakimbilia kwamba mm ni bwabwa, acheni izo wakuu...tumieni kswahili bila fikra potofu