Mimi huyu hapa. Kumbe kuna watu 500 hapa JF wamenipenda

Kheri Hansen

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
1,025
Reaction score
1,238
Capture.PNG
 
Tatizo lenu neno "Like" halina shida, shida ni likitafsiriwa kwa kiswahili nikasema "penda/pendwa...."wamenipenda.....akili zenu zinakimbilia kwamba mm ni bwabwa, acheni izo wakuu...tumieni kswahili bila fikra potofu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Like ni kwamba kitu ulichachangia au kuposti watu wamekikubali
 
Tatizo lenu neno "Like" halina shida, shida ni likitafsiriwa kwa kiswahili nikasema "penda/pendwa...."wamenipenda.....akili zenu zinakimbilia kwamba mm ni bwabwa, acheni izo wakuu...tumieni kswahili bila fikra potofu
Nani amekuita bwabwa mkuu
 
Wewe lazima utakuwa ni mwanachama wa ule "Uzi maalum wa kupeana likes"

Yani hadi unazifuatilia likes
 
Tatizo lenu neno "Like" halina shida, shida ni likitafsiriwa kwa kiswahili nikasema "penda/pendwa...."wamenipenda.....akili zenu zinakimbilia kwamba mm ni bwabwa, acheni izo wakuu...tumieni kswahili bila fikra potofu
hahaaa hahaa JF haichoshi
 
Back
Top Bottom