Mimi kama freelancer wa kitanzania, vijana fanyeni hivi

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,319
Reaction score
3,097
Kwanza freelancing ni kufanya kazi za nje kupitia platform za kazi kama Upwork na fiver

Kitu cha kufanya tafuta digital skills (ujuzi)
Wowote ule ambao unaweza kujifunza kwa kutumia computer

Kitu cha pili anza kutafuta wateja wa huo ujuzi au kutafuta kazi mitandaoni kupitia hayo majukwaa ya kazi

Nimeelezea sana lakini hizi ni skills unazoweza kuanza nazo

Graphic design kwa kutumia canva
Digital marketing skills
Copywriting
Affiliate marketing
Translation
Transcription
Na nyingine nyingi sana
 
Nlishawahi kujaribu mara nyingi na sikufanikiwa, nahitaji maelekezo zaidi tafadhali
 
Kwanza freelancing ni kufanya kazi za nje kupitia platform za kazi kama Upwork na fiver

Kitu cha kufanya tafuta digital skills (ujuzi)
Wowote ule ambao unaweza kujifunza kwa kutumia computer

Kitu cha pili anza kutafuta wateja wa huo ujuzi au kutafuta kazi mitandaoni kupitia hayo majukwaa ya kazi

Nimeelezea sana lakini hizi ni skills unazoweza kuanza nazo

Graphic design kwa kutumia canva
Digital marketing skills
Copywriting
Affiliate marketing
Translation
Transcription
Na nyingine nyingi sana

Umeelezea sana wapi?
 
Back
Top Bottom