youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,319
- 3,097
Kwanza freelancing ni kufanya kazi za nje kupitia platform za kazi kama Upwork na fiver
Kitu cha kufanya tafuta digital skills (ujuzi)
Wowote ule ambao unaweza kujifunza kwa kutumia computer
Kitu cha pili anza kutafuta wateja wa huo ujuzi au kutafuta kazi mitandaoni kupitia hayo majukwaa ya kazi
Nimeelezea sana lakini hizi ni skills unazoweza kuanza nazo
Graphic design kwa kutumia canva
Digital marketing skills
Copywriting
Affiliate marketing
Translation
Transcription
Na nyingine nyingi sana