Mimi kama Great God jina langu ninalotumia Jf Jinsi nilivyo!?

Mimi kama Great God jina langu ninalotumia Jf Jinsi nilivyo!?

Utani wako sawa ila kutumia jina hilo kama jina lako sio sahihi na kamwe haikubaliki ktk mizania ya imani yoyote ile, jiite majina yote, makubwa na madogo lkn kamwe binadamu kiumbe asijiite jina la. Muumba wake, kwangu ni kufuru, naamini nakwako pia....kama itakupendeza please change it, maana sasa huku ni kulifanyia mzaha jina la Labuka, Mimi nimenawa mikono, damu yako haitatakwa mikononi mwangu.
Hakika
Mtu huwezi kujiita jina la Mungu,ni kumkosea heshima Mungu kijana.
 
Back
Top Bottom