Mimi kama muhitimu wa degree badala ya kwenda VETA nitajiunga na mradi wa BBT je huu mradi wa BBT umefikia wapi ?

Mimi kama muhitimu wa degree badala ya kwenda VETA nitajiunga na mradi wa BBT je huu mradi wa BBT umefikia wapi ?

Ccm wajinga Sana yaani walianzisha miradi uchwara na kupiga hela na kupotea
 
Unajiungaje na BBT ambayo ni dhahiri hujui inafanya nini na imefikia wapi Mafryed😌

teh teh tehe

Tuwekee hiyo Degree yako mezani mkuu ufanyiwe interview sasa hivi🤣🤣🤣🤣🤣
 
BBT ulikuwa mradi haramu na danganya toto huku ndani yake kukiwa umegubikwa na siri za kifisadi tupu

RIP JPM

Hukupenda kabisa kuona ujinga huu ukanyamaza
 
Back
Top Bottom