reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,813
- 21,807
Muombee adui yako aishi maisha Mengi ili unapofanikiwa ajionee mwenyewe.
Hatutaki visingizio mwisho mwa msimu,
Kuna Gap la points 5, na mechi mkononi ambayo najua ni +3, maana msimu huu tunapita kila mtaa kama mwenge..
Tulimpa nafasi ya kupunguza juzi, kashindwa, Sasa si tufanyeje????
Man U ngoja atupe hamasa, namuombea kwa Mungu Ashike nafasi ya 3,
Newcastle atumike kupunguza kasi ya vigogo ili ushindani uzidi..
Wale wenzangu wa mtaa wa 9 & 10 nawaombea wapande juu kdg angalau waonekane kweny 1st Pg ya EPL table.
Kwa maana hio tegemeo letu kwa changamoto ni City na hilo Jini lao, unampokonya points 15 mtu aliyeachwa points 8 kihalali si uonevu???
KUOMBEANA NJAA NI DALILI ZA UCHAWI.
KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE.