Mimi Kama Shabiki wa Dar Yanga SC nawatakia ushindi Azam FC dhidi ya Yanga SC

Kwenye historia ya mpira ya nchi hii,Yanga ndio imeshachukua mara nyingi zaidi , tena ikiwacha pengo kubwa na zinazoifuatia, kuliko timu nyengine yoyote. Utapata taabu sana kufupisha kauli hiyo sahihi kama hutasema ‘Mabingwa wa Kihistoria’:. Kama unabisha, jaribu kifupi chake mbadala wana-JF wakuone umahiri wako.
 


Bado Hujatoa Maana Sahihi Yenye Kueleweka Ya Neno "MABINGWA WA KIHISTORIA" !!

Kauli Sahihi Ni "Mabingwa Wanaoshikilia Rekodi" na Si Msamiati "Kihistoria"..

Kwani Kila Timu ina historia Yake Ndani Ya Ligi! Ila Rekodi Ya Jambo anakuwa nayo Timu moja tu na Haiondoki Rekodi Hiyo Mpaka itokee timu iivunje Rekodi Hiyo.

Historia Ni Jambo lisiloweza Kuvunjwa! Lakini Rekodi Yaweza Kuvunjwa.

Kwamfano Unaposema "SIMBA NDIYO TIMU YA KWANZA KUPANDA NDEGE TANZANIA"!!! Basis hii Ni Historia Manake Tokeo hill Haliwezi Kujirudia Kwahiyo Litabaki Ni Historia.

Lakini Unaposema Yanga Kachukua Ubingwa Wa Ligi Kuu Mara 50 basis hii Haiwezi Juwa Bingwa Wa Historia Kwani Ubingwa si Tukio lililokwisha Kusimama! Hiyo Ni Rekodi tu Na Upo uwezekano Wa Kuja Kuvunjwa.
 
Wewe mkia FC kwa maneno hyo utasubiri sana... Ligi bado changa na Yanga ana nafasi kubwa ya kutetea taji lake..
Hofu kwenu tu Mikia, msipochukuwa kombe mwaka huu mtakimbiana...!!!
 
Wewe mkia FC kwa maneno hyo utasubiri sana... Ligi bado changa na Yanga ana nafasi kubwa ya kutetea taji lake..
Hofu kwenu tu Mikia, msipochukuwa kombe mwaka huu mtakimbiana...!!!


Unaonekana wewe ni mgeni hapa jukwaani.
 
Baada Ya Kuona Leo hamna namna isipokuwa Mupakatwe Ndiyo munakuja na gia ya kujisalimisha sio?
Hamna cha kumuachia Azam wala Nini Bali Leo Munasukutuliwa tu.
We mama/kaka..Unajisikiaje saa hizi uko uliko
 
Tofauti ya Kushikilia Rekodi ya Ubingwa na kuwa Bingwa wa Kihistoria ni ipi? Tafsiri rahisi ya ‘Rekodi’ ni kumbukumbu’. Sasa kumbukumbu na historia tofauti yao iko wapi?
 
Tofauti ya Kushikilia Rekodi ya Ubingwa na kuwa Bingwa wa Kihistoria ni ipi? Tafsiri rahisi ya ‘Rekodi’ ni kumbukumbu’. Sasa kumbukumbu na historia tofauti yao iko wapi?
Tofauti ya Kushikilia Rekodi ya Ubingwa na kuwa Bingwa wa Kihistoria ni ipi? Tafsiri rahisi ya ‘Rekodi’ ni kumbukumbu’. Sasa kumbukumbu na historia tofauti yao iko wapi?


Tofauti Ni Kwamba:

1) Timu Zote 16 zinazocheza Ligi ya VPL kila moja INA historia Yake Kuanzia Kuanzishwa Kwake Mpaka hapa zilipo.

2) Na Wala Hakuna Timu inayoweza Kuvunja Historia ya Mwenziwe.

3) Historia Haivunjwi wala Haiondoshwi Bali Hubaki Mikele! Kwamfano Historia Ya Kuanzishwa Kwa Timu ya Ushirika Moshi haiwezi futwa lakini Rekodi Ya Simba Kuchukua Ubingwa Wa Ligi Kuu
Bila Ya Kufungwa Yaweza Futwa Na Timu Yoyote hapa nchini iwapo nayo itabeba ubingwa bila ya Kufungwa.

4) Bali
Kuhusu Rekodi, Si Kila Timu kwamba imeeka Rekodi! Ni Timu maalum ndiyo zinashikilia Rekodi Maalum Kwa Muda Maalum! Kwa Mfano Yanga inashikilia Rekodi Ya Kuchukua Kombe la Ligi kuu Mara Nyingi.
Simba anashikilia Rekodi ya Kulichukua Kombe la AFRIKA MASHARIKI Mara nyingi.
Yanga anashikilia Rekodi ya Kumfunga Simba Michezo mengi ya VPL.
Simba anashikilia Rekodi ya Kumfunga Yanga Magoli mengi katika Mchezo mmoja.
Hizo Rekodi Zote Zaweza Vunjwa na Timu Yoyote.

5) Kwahiyo Kila aliyewahi Kuchukua Ubingwa Wa Ligi kuu Hata Kama Mara Moja tu Basi Nayo Ni Historia Yake Hiyo Na Waweza Kumwita Bingwa Wa Kihistoria...
Lakini Aliyebeba Ubingwa Mara Nyingi Kuliko Wote Huyo Atakuwa Anashikilia Rekodi Ya Kubeba Mara Nyingi tu.

NOTE:
Mimi Nazungumzia Mpira Hapa, Sipo BAKITA kuzungumzia Misamiati Na maana Zake.
 
JF kunazungumziwa mantiki, hakuzungumziwi ubishi. Tofauti ya Timu kuvunja rekodi ya kuwa bingwa na ya timu kuwa ni bingwa wa kihitoria, iwe hapa TZ au popote pale, ni ipi?
 
Dalili za Ubingwa naziona kwa Azam FC kwa msimu huu tu. Ila nakuruhusu kuendelea kuwa na Matumaini kama waliyokuwa nayo wale waliokuwa wanangojea barua kutoka FIFA.
bado una matumaini kwa azam, nakwambia yanga bingwa tena mwaka huu
 
JF kunazungumziwa mantiki, hakuzungumziwi ubishi. Tofauti ya Timu kuvunja rekodi ya kuwa bingwa na ya timu kuwa ni bingwa wa kihitoria, iwe hapa TZ au popote pale, ni ipi?


(HISTORY/HISTORIA & RECORD/REKODI IN SPORTS)

HISTORY = PAST EVENT CONNECTED TO SOMEONE OR SOMETHING.
Hiyi ↑↑ ndiyomaana yake ukiwa unataka au Hutaki.

RECORD = THE BEST PERFORMANCE OR MOST REMARKABLE EVENT OF ITS KIND THAT HAS BEEN OFFICIALLY MEASURED AND NOTED.

Huyo ↑↑ Ndiyo maana ikiwa unataka au Hutaki.

Kwenye Sports hakuna Bingwa Wa Kihistoria (Past events that will never come back! Only written in a history
books and we are reading it)
Mfano Wa historia Katika Soka Ni "Timu Ya Zambia Kuanguka Na Ndege na Wachezaji Wake Wote Wakafa" hii Ni historia kwani tunaishia Kuisoma tu.

Lakini swala la ubingwa sio swala la historia Kwamba Hatutouona tena na tutaishia Kuusoma vitabuni Kama Past event.

Mimi hapa Nipo kwenye Discussion (What is right), Na sipo Kwenye Argument (Who is right).
So kama wewe unaconsider Kwamba I'm here for an Argument, let me fvck off! Have a good day.
 
bado una matumaini kwa azam, nakwambia yanga bingwa tena mwaka huu


[HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] bhana! 😀 😀 😀 😀
Munahisi Kama [HASHTAG]#Simba[/HASHTAG] anaposhinda na nyinyi huwa Munapata Share yenu ya points.
 
Wewe unahangaika bure tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…