Mimi Kama Shabiki wa Dar Yanga SC nawatakia ushindi Azam FC dhidi ya Yanga SC

Mimi Kama Shabiki wa Dar Yanga SC nawatakia ushindi Azam FC dhidi ya Yanga SC

Hili neno Mabingwa wa kihistoria, huwa nasikia wanalitumia sana baadhi ya watangazaji wa radio, sasa linaanza kuenea kwa wasikilizaji wasiotafakari maneno.
Historia ni profile, kutoka ulipoanzia hadi ulipo hivi sasa, kwahiyo tukija kwenye mpira wa miguu, mfano: Timu A, inasifa ya kuchukua vikombe vingi, itakua imetengeneza profile yake kwa kuchukua makombe mengi.

Timu B, ina vikombe vichache pia itakua imetengeneza profile yake.
Timu C, yenyewe haina kombe ni kufungwa michezo yote, nayo pia itakuwa imetengeneza profile yake kwa sifa zake.
Kwahiyo historia ni profile yako uliyoitengeneza, na kwamwe sio haina maana kufanya vizuri.
Timu ya Mtibwa wamewahi kuchukua ubingwa wa bara nayo ni historia.
Huwa sielewi ninaposikia Wanahabari, wanaaminiwa wakitumia Kiswahili kisicho na maana, Katika Lugha hiyo Adhimu.

cc, SIBONIKE.
 
Mkuu ni vyema kuongea lile ambalo moyo unaamini. Ila sijapinga kuwa hatumo kwenye mbio za ubingwa. Nafsi yangu inaniambia tuwarahisishie AZAM FC njia kwa msimu huu...Tukimkazia Azam FC wale jamaa wa Bilioni 1.3 watafurahia sana

Umefanya vema kuwa mkweli..... ila hapo kwenye kuwarahisishia Azam ni kama upangaji wa matokeo. Ni kosa la kiuadilifu na inaonekana huo ni mchezo uliozoeleka.

All in all Azam haihataji kusaidiwa na Yanga ili awe bingwa ukweli ni kwamba wana timu nzuri uwanjani kuliko Yanga.
 
Angalau mmeanza kuwa wakweli, baada ya kujiumauma kwa muda mrefu.
Yanga haikustahili hata kuwa bingwa msimu uliopita, ilikuwa dhaifu kulinganisha na misimu 2 iliyopita. Huu ni ukweli uliowazi
Nani halistahili badala ya Yanga Mzee?
 
Pengine ni ukweli Yanga hawako katika nafasi kubwa katika mbio za ubingwa,na wanaona bora kombe achukue Azam kuliko Simba.Lakini ni ujinga kuwaza hili wakati ambao kuna zaidi ya mechi 15 mbele.
Hata kama Yanga atafungwa leo basi iwe ni kwa uwezo lakini si kucheza chini ya kiwango ili kukomoa watani.nadhani kila mtu anajua matokeo ya Azam vs Majimaji.
 
Nilidhani wewe ni mwanachama.
Jitahidi upate kadi ya uwanachama.
Yeyote atakayefanya makosa mechi ya leo anafungwa.
Azam na Yanga wote ni wazuri uwanjani kwa sasa.
Ni 50% / 50%.
 
Kuna neno fulani la kizungu linaitwa "Enlightment Period" Ila sitawezeza kulifanyia tafsiri sisi kabisa kwenye mjadara huu. Ila kwa kifupi ni kipindi ambacho yaliyo mema na mazuri ambayo yanasifiwa na kufurahisha na kuonekana yalipata kufanyika kwenye nyakati hizo.

Wanajanangwani kwa sasa wamemaliza kipindi chao hiko, ambapo itawapasa wachukue tena miaka 3 ijayo kujitengenezea enlightment period nyingine kwenye tasnia ya soka.

Kusua sua kwake msimu huu kunadhihirishsa wazi kuwa nyakati zao sasa zimekwisha, na kipindi cha mwingine. Hivyo basi bila kusema mengi ningependa kuwatakia Azam FC ushindi mnono hapo Jumamosi watapokutana na Yanga SC. KUna uwezekano ikawa isiwe dhahiri kuwa ni enlightment period ya azam fc lakini siku zote waswahili wanasema "nyota njema huonekana asubuhi", na hatma haiumbwi na kisicho dhaniwa.

Licha ya ukimya wao naona kabisa Azam FC wanafaa kuwa mabingwa wa ligi kuu msimu 2017/18, hivyo basi hata kulingana na shaka yangu izaliwayo na muenendo wa Yanga SC napenda kuweka wazi kuwa nawatakia ushindi mnono walamba koni ifikapo jumamosi.

Kabla sinatamatisha andiko,

Niseme kuwa kila klabu kubwa ulimwenguni yenye kupitia kwenye "enlightment period" ni lazima ipumzike kwa muda mfupi ili kupisha mabadiliko ya nyakati kabla haijarudi kwenye kipindi chake.

Kwa mfano :-
Timu yenye mafanikio makubwa nchini Uhispania "Real Madrid" iko kwenye kipindi hiko hiko cha mpito.

Timu yenye mafanikio makubwa uingereza "Manchester Unite" iko kwenye kipindi hiko hiko cha mpito.

vile vile
Timu yenye mafanikio makubwa Tanzania "Yanga SC" iko kwenye kipindi hiko hiko cha mpito.

ANGALIZO:-
Kipindi hiko cha mpito huwa hakidimu kwa zaidi ya miaka 3, ukiona timu iko kwenye kipindi cha mpito kwa zaidi ya miaka 3, Tambua kuwa haikuwahi kuwa kwenye "Enlightment Period". Kigezo pekee cha timu kuwa kwenye Enlightment period kuanzia miaka 10 na kuendelea.

Nawasilisha,

Demigod-
Mi simba damu. Kwa mara ya kwanza leo nashabikia yanga
 
Nilidhani wewe ni mwanachama.
Jitahidi upate kadi ya uwanachama.
Yeyote atakayefanya makosa mechi ya leo anafungwa.
Azam na Yanga wote ni wazuri uwanjani kwa sasa.
Ni 50% / 50%.


Nilijua tu ni lazima mashabiki wa simba leo wawe upande wetu.....Hahahaha.

(Ukisikia shabiki wa simba anasema Yanga mpira anauweza ujue kuna jambo hapo)
 
Baada Ya Kuona Leo hamna namna isipokuwa Mupakatwe Ndiyo munakuja na gia ya kujisalimisha sio?
Hamna cha kumuachia Azam wala Nini Bali Leo Munasukutuliwa tu.
 
Yanga, Arsenal na Real Madrid wamepanda lori moja.
 
Nilijua tu ni lazima mashabiki wa simba leo wawe upande wetu.....Hahahaha.

(Ukisikia shabiki wa simba anasema Yanga mpira anauweza ujue kuna jambo hapo)
Yaani Bingwa wa VPL mara tatu unasema hajui mpira....!
Mi sizungumzii ushabiki, kiwango cha Azam na Yanga ni karibu sawa tu.
Atakayefanya makosa ndiye atakayefungwa.
 
Baada Ya Kuona Leo hamna namna isipokuwa Mupakatwe Ndiyo munakuja na gia ya kujisalimisha sio?
Hamna cha kumuachia Azam wala Nini Bali Leo Munasukutuliwa tu.

Tumeshinda ila hayakuwa mapenzi yangu kwa ushindi huu(sina furaha)....
 
Pole sana demigod 2-1


Leo kuna vitu 2 vipya nimejifunza:

1. Nilidhani kuwa Azam anaweza kumpa simba changamoto ya presha kwenye nafasi ya kwanza, ila baada ya kushindwa kumfunga Yanga ambaye hata wachezaji wake tegemezi baadhi hawakuwepo kunanipa ukakasi wa kuamini kama wanaweza kutoa changamoto pale juu.

2. Kingine ni kuwa Yanga SC inapokuwa dhaifu (Msimu mbaya) ndio inakuwa tishio zaidi kwa timu kubwa kwenye VPL. Inamaanisha ubora wao unapokuwa chini huwa sio sababu ya msingi ya kutowapa nafasi ya kufanya vyema dhidi ya timu kubwa.

Mfano: game nyingi ambazo hata yanga umfunga simba huwa ni zile ambazo yanga huingia kama underdog kwenye mchezo.
 
1fd5bb8d7b8556dcfd9f21c185088767.jpg
 
Back
Top Bottom