He he he juzi ulikuwa unajiita Marumo Gallants[emoji16]
Utabadilisha jina kimya kimya kama kawaida yako [emoji1787]
Karibu Algeria
USM ALGER MABINGWA WATARAJIWA
Ndg zanguni mnaomuombea yanga dua la kuku poleni sana kwa sababu mwananchi gari lake limewaka na wa kumzima hakuna kabisa
Baada ya mechi hiyo utakuwa shabiki wa Mamelod kwenye mechi ya mshindi wa shirikisho na Championship.
Sehem pekee inayowapa furaha makoloz.. Na tutaenda kuchukua hiyo furaha Yao hukohukoMm kama shabiki wa USM ALGER nikiwa katika jiji lenye raha hapa ALGIERS nchini Algeria
Timu yangu pendwa toka utotoni ipo fainal kuchukua kombe letu mapema dhidi ya timu dhaifu iliyoshindiliwa goli 2 bila dhidi ya marafiki zetu simba
Wakazi wote wa ARNAT,AMDOUKAL,BECHAR,BEJALA na viunga vyote vya Algeria mnakaribisha kupiga picha tarehe 29 maana kombe tumeshalichukua
Shabiki wa klabu ya Union Sportive de la Médina d'Alger maarufu kama USM Alger au USMA.
Hii ni timu yenye mafanikio na yenye kutoa nyota(wachezaji mashuhuri wenye vipaji vya Ballon dor wanaocheza ligi kubwa duniani kama RIYAD MAHREZ, KARIM BENZEMA,SAID BENRAHMA hawa wote walicheza klabu pendwa ya USM ALGER)
kama ilivyo kawaida yetu usm Alger hatujawahi kupoteza fainal wala kombe lolote mbele yetu
USM ALGER ni Madrid ya ulaya View attachment 2627741
Kikosi cha USM ALGER chenye thamani ya BIL 50 View attachment 2627745
Anaitwa MUSTAPHA BOUCHINA kacheza Aston Villa timu yenye Uefa hata Arsenal hana
Ana mechi 20 goli 78 View attachment 2627753
Huu ni uwanja wetu USM ALGER wa mazoez tu ambao hata hao UTO hawana kiwanja hata cha kufugia maafisa habari wao View attachment 2627755
Huu ndyo uwanja wetu pendwa USM ALGER upo pembezoni mwa bahari mara mwisho timu kutufungwa hapa 2019
Najua UTO hamna uwanja poooo
BA NTWA BA USM ALGER
QULED EL-BAHOJA
Sehem pekee inayowapa furaha makoloz.. Na tutaenda kuchukua hiyo furaha Yao hukohuko
Nasema hivi gari limewaka wakulizima sijamuona mimi mwenyewe nilimfunga mtani kwa kubahatisha lakini uwezo sina mimi simba dam dam lakin mtani gari limewaka 🙌Siyo kwa USM ALGER
Nasema hivi gari limewaka wakulizima sijamuona mimi mwenyewe nilimfunga mtani kwa kubahatisha lakini uwezo sina mimi simba dam dam lakin mtani gari limewaka [emoji119]
Kipindi hiki tutawala masaburu yenuKatika mazingira ya kusoma o level ushakutana na yule mwanafunzi form 1 aligonga grade A, form two grade A, form 3 grade A.....afu form four akapata zerooo[emoji23][emoji23]...zile "A" Zinakuwa hazina maana Tena.....
Na hiki ndicho kinachoenda kuwakuta utopolo[emoji23]
Tokea ujiete Marumo mpaka sasa USM hakuna Kolo yeyote anaonyesha sapoti ,natabiri na huu uzi kudoda kama ule maana Kolo Pamoja na ukolo wao ila hawana huu upuuzi.
Kipindi hiki tutawala masaburu yenu