Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimependa jina la pili na la mwisho
BA NTWA BA USM ALGER
QULED EL-BAHOJA
Huyo manzi lazima aliwe ndogo leo, nafikiri mnajua tabia za waarabu.
Huyo manzi lazima aliwe ndogo leo, nafikiri mnajua tabia za waarabu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mock tayar matokeo ni F, Tusubiri NECTA sasa.Katika mazingira ya kusoma o level ushakutana na yule mwanafunzi form 1 aligonga grade A, form two grade A, form 3 grade A.....afu form four akapata zerooo[emoji23][emoji23]...zile "A" Zinakuwa hazina maana Tena.....
Na hiki ndicho kinachoenda kuwakuta utopolo[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ongezaa sautiiiiTutawapeleka mputamputa kama Mallumo... Ukibisha weka tako uone!!.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wa kulizima yupoo nae si mwingine ni BenzanzaaaNdg zanguni mnaomuombea yanga dua la kuku poleni sana kwa sababu mwananchi gari lake limewaka na wa kumzima hakuna kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cha ajabu hizo team zote hazitakutana, woiiiiiiihBaada ya mechi hiyo utakuwa shabiki wa Mamelod kwenye mechi ya mshindi wa shirikisho na Championship.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo manzi lazima aliwe ndogo leo, nafikiri mnajua tabia za waarabu.
Kumekuchaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeihifadhi comment yako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cha ajabu hizo team zote hazitakutana, woiiiiiiih
Na takwimu zinaniambia hakunaga mtu ambae alifeli mock afu akafaulu Necta[emoji23] Ukifeli mock we habari yako Kwisha labda uroge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mock tayar matokeo ni F, Tusubiri NECTA sasa.
Na NECTA huwa hairogeki, labda uroge mid term au terminal na annual.lifeli mock afu akafaulu Necta[emoji23] Ukifeli mock we habari yako Kwisha labda uroge
Khaaah sasa mamelod wapo final CAFCL? Na hata yanga hawezi kuwa bingwa wa CAFCCNimeihifadhi comment yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na takwimu zinaniambia hakunaga mtu ambae alifeli mock afu akafaulu Necta[emoji23] Ukifeli mock we habari yako Kwisha labda uroge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watuuuNa NECTA huwa hairogeki, labda uroge mid term au terminal na annual.
Malizia mkuu wala si shabiki wa MnyamaKama mtanzania ambaye si shabiki wa Dar Yanga Africa.
Nawatakia kila lililo la kheri Yanga.
Mkaliletee heshima taifa.