Mimi kama shabiki wa USM ALGER nikiwa katika jiji lenye raha hapa ALGIERS nchini Algeria

Nimependa jina la pili na la mwisho

BA NTWA BA USM ALGER
QULED EL-BAHOJA

NAAAM HABIB HABIB [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]وينينينيطوطميكسككيطىطنطنطوطوطىطمطم
 
Huyo manzi lazima aliwe ndogo leo, nafikiri mnajua tabia za waarabu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mock tayar matokeo ni F, Tusubiri NECTA sasa.
 
Baada ya mechi hiyo utakuwa shabiki wa Mamelod kwenye mechi ya mshindi wa shirikisho na Championship.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cha ajabu hizo team zote hazitakutana, woiiiiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mock tayar matokeo ni F, Tusubiri NECTA sasa.
Na takwimu zinaniambia hakunaga mtu ambae alifeli mock afu akafaulu Necta[emoji23] Ukifeli mock we habari yako Kwisha labda uroge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…