Son of Israel from Africa
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,006
- 2,963
Sendeka amekaa sanaa na tuko kimkaktii maana mkoa wa Manyara hatuna Waziri kwani ndugu yangu Sendeka hana elimuu so maamuzi tumefanya kimkakatiiihahaaaaaaaaaaaaa tawalayyyyyyyyyyyyyyyyy kibori ole naangaii , kwani sendeka naye kafanya nini maasai?
Kwamba mama yenu anachukizwa na kura za wizi? Usitufanye watotoNape alichafua hali ya hewa mitandaoni kwa kumuhakikishia mwenyeji wake kwamba atamsaidia kupata kura za wizi.
IVI MWANASIASA AKIKOSA JUKWAA ANAWEZA KUNG'ARA TENA?JANUARY NI MZURI SHIDA WAHUNI WENZAKE WAMEMGEUKA HALAFU ATULIE BADO MDOGO.HUYU KAMA HAMJUI NDIYE KIGOGO
UmejuajeeJANUARY NI MZURI SHIDA WAHUNI WENZAKE WAMEMGEUKA HALAFU ATULIE BADO MDOGO.HUYU KAMA HAMJUI NDIYE KIGOGO
KIGOGO AMEKUTUMAUmejuajee
ARUDI TU WAHUNI WENZAKE WANAJUANAIVI MWANASIASA AKIKOSA JUKWAA ANAWEZA KUNG'ARA TENA?
JANUARY ALIANZA FUJO KUANZIA ENZI ZA MAGUFULI.KIJANA HUYU NI SUMU NA TAMAA KUBWA SANA UAMUZI WALIOCHUKUA NI SAHIHI.ALIKUWA ANAMMALIZA MAMA KIMYA KIMYA.Hawa waliunda syndicate kali sana ya kujiandaa na uchaguzi wa 2025, na wakaanza mashambulizi yao kwa mama, wakimtumia dada wa january kumrushia mange data za kuichafua serikali. Lahaula, kabla hawajakaa vizuri wakapigwa kata funua la uwaziri ambalo limepelekea hadi kukatwa kwenye kugombea ubunge. Napelagwa kaachwa kwa vile hana madhara sana kama hao wengine na huko Mtama hana mpinzani. Mpinzani aliekuepo Seleman Matthew alifariki 2023-rip, ila kama angekuepo na alikua kesharejea CCM basi hata Napelagwa angepigwa chini pia.