mkombe kasula
Member
- Jul 11, 2025
- 75
- 36
K
KINANA, JANUARY,NAPE NI VIRUS NA HATA MZEE WA MSOGA USIMUAMINI KIHIVYOKuna untold story hapo.
Ila ukweli utakuja kujulikana.
January, Nape na Kinana wana ajenda yao.
Byabato alikuwa naibu wa January Wizara ya nishati......
Samia akawahamishia foreign affairs wakiwa na vyeo vilevile...wakawa marafiki.
Urafiki wake na January ukamsogeza karibu na Nape.
Nape aliwahi kualikwa Bukoba na Byabato, na apewa fursa ya kuongea na wapiga kura wa Byabato pale Kashai.
Nape alichafua hali ya hewa mitandaoni kwa kumuhakikishia mwenyeji wake kwamba atamsaidia kupata kura za wizi.
Wiki chache baadae Samia akawaondoa kwenye uwaziri wote watatu kwa siku moja...January, Nape na Byabato.
Baada ya muda kidogo Kinana akaomba kujiuzuru nafasi ya makamu mwenyekiti CCM Taifa....
Uki-study huo mtiririko utabaini kuna jambo hapo.