Mimi Kisandu Junior nampenda sana Evelyn Salt

Mimi Kisandu Junior nampenda sana Evelyn Salt

Be ware JF members huyu ni mtu asiyejulikana anatuchota. Kaa kimya au pitia tu. Kisandu mkubwa bado yupo lupango wanataka kutudaka.
 
Itakuwa ni jamaa mwenye multiple ID, maybe kuna ID fulani aliwahi kukoromewa na by the said Evelyn Salt, sasa baada ya Nalimi kufanya yake kule FB juzijuzi jamaa akapata morali kufukuzia tena ugombea kwa huyo Cc. Evelyn Salt [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
evelyn chagua Kisandu Junior uendelee kupata vituko
Au ni danga lake linamjaribu, kama bado ni maharage ya mbea.
 
Ukoo wa kisandu huwa hawajibu uzi haraka haraka, lazima wachukue muda mrefuuu au wasirudi kabisa. Lakini pia ukoo wa kisandu wanapenda mamiss tena mdada awe mweupe, sasa kama junior kakolea bila kujua haya, basi sio ukoo wa kisandu.
 
Ndugu kama umeanzia huku na hujamwambia yeye binafsi kwanza, basi utakuwa ni bonge la lofa
 
Hahahah mmeshammisi[emoji23][emoji23],hadi tarehe umeandika[emoji23]kweli ulimkariri
 
Back
Top Bottom