Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi.Hatuhitaji nuksi kama wewe kuishangilia Simba.
Aliyekwambia ushabgilie Simba na mjinga tu kama wewe.Astaghafir! Astaghafir! Astaghafir NALIA NGWENA na akili yangu timamu Mimi huyu nikaishaingilie Simba SC eti kwa kuwa Waziri Kasema tuweke uzalendo ni ngumu sana Tena sana na haitotokea.
Siwezi kuishangilia timu ambayo Ina viongozi waongo sana viongozi waliokuja wakawadanganya Umma kuwa watamsajili Manzoki na Kwenye mkutano watamleta lakini hawajamleta.
Siwezi kuishangilia timu ambayo kupata matokeo point tatu muhimu mpaka itume shabiki akafukie vitu kwenye goli la timu pinzani.
Siwezi kuishangilia timu ambayo viongozi wake wakisiki timu pinzani (mtani) kaweka bajeti yake kiasi Fulani basi na WAO wanapandishia kwa juu ili kuwafariji mashabiki.
Ni ngumu mno NALIA NGWENA kuishangilia timu ambayo Wanafanya usajili wa buku jero Kama alivyosema aliyekua kiongozi WAO kaduguda.
Kwa kweli siwezi kuishangilia timu ambayo boss wao tajiri (muhindi) mbahili mno huwa anajitokeza na kuinanga timu pamoja na mashabiki.
Nasema siwezi Tena siwezi na sikubali kushangilia timu ambayo toka ianze safari ya kupambana kimataifa inaishia Robo robo tu.
Asalam alykum! Karibu sana timu yangu ya toka utotoni Al ahly karibu kwa Mkapa uwanyooshe /kata mkia watoto wa Mudi.
KAMUULIZE MSHUA WAKO [emoji41]Aliyekwambia ushabgilie Simba na mjinga tu kama wewe.
Kwa hapo bongo umri ulionao tayari utakuwa na timu.
Kwani wewe ni ke au me?nina maana yangu kukuuliza.
TUKUTANE KWA MKAPANi kama mimi tu shabiki wa damu wa masandawana,siwezi kamwe kushabikia utopolo asee