Mimi kuishangilia Simba SC ni sawa na shekh anayelazimishwa kula nguruwe, siwezi na haitotokea mpaka nakufa

Ushasikia shekhe mwenye njaa kali kakuta finyango za kitimoto choma huku akijua hakuna mwenzie anayemuona? Unadhani atafanyaje? Ndo wewe sasa.
 
Aliyekwambia ushabgilie Simba na mjinga tu kama wewe.

Kwa hapo bongo umri ulionao tayari utakuwa na timu.

Kwani wewe ni ke au me?nina maana yangu kukuuliza.
 
mapendo daimaaaa🤗🤗🤗🤗
 

Attachments

  • Screenshot_20240328_080303_Instagram.jpg
    147.8 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…