Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
Mimi Kuna Kitu Kinanichanganya Sana Kwenye Hii Serikali Yetu
Wanasema Mimba Na Mtoto Ni mali ya Serikali Lakini Kwanzia Ujauzito Na Mtoto Unahudumia Wewe Sasa Kwanini Kama Mtoto Ni mali ya Serikali Usiwekwe Mfumo Wa Kuwalipa Wazazi Posho Za Malezi Ya Mtoto/ Watoto Wao? Hapo Nachoka Kabisa.
Au Wana Jf mumeelewaje hii serikali?!