hakuna binadamu aliyekamilika ktk hii dunia. Utazunguka dunia nzima utaishia kulaumu. Jaribu kuishi kwa busara na hao wenzi wako. Kikubwa somaneni tabia, then kwa zile ambazo zinakukera mwambie mwenzio kwa upole na upendo aziache na mbaya za kwako pia uziache.
Maisha ya mahusiano huwa nayafananisha na nguo za mtumba, ni ngumu kupata inayokutosha vzr. Mara nyingi huwa tunanunua hizo nguo, unaenda kwa fundi, unaipunguza au kuiongeza ili ikutoshe, unaifua na kuipiga pasi then unajilipua nayo! Mahusiano ni vivyo hivyo, chukua mwenza wako, customize,mabadilishe tabia, mshauri, akikufaa endelea naye. Akishindikana achana naye. Simple!