Mimi kuoa basi tena

Mimi kuoa basi tena

Kwakuwa mwenyewe umeamua hivyo sawa,maana mawazo ya mtu ndio serikali yake!
 
Kama una watoto..... sio lazima!!! oa usiku asubuhi talaka!!


Wenyewe mnaona sifa,

sio dawa hata kidogo mnawapa mazingira magumu watoto

chunguza nini kinaleta mifarakano tafuta ufumbuzi
 
mwaaume kamili ni yule atakaye weza kimvulia na kuishi na mwanamke. Unapoambiwa ni mtihani ulizani mchezo? Hicho ndo kipimo cha ulijari. Kama ulisha zoea chovya chovya, usipotaka kubadilika hauta weza.
 
kuoa sio lazima,mbona yesu alikufa bila kuwa na hata mtoto?
 
pole sana my friend wangu,angalia shilingi upande wote halafu ng'amua.Nalog off

Kula tano off logger!................yaani ndicho nilichokihisi hapa....................tatizo ni wewe mwenyewe unawaonea bure hao kina mama.............haiwezekani weye uwe unakunata na wabaya kila siku bana............hata shetani anao wazuri kwake!
 
Oa mzazi, life bila mke ni gumu ki ukweli.
 
hakuna binadamu aliyekamilika ktk hii dunia. Utazunguka dunia nzima utaishia kulaumu. Jaribu kuishi kwa busara na hao wenzi wako. Kikubwa somaneni tabia, then kwa zile ambazo zinakukera mwambie mwenzio kwa upole na upendo aziache na mbaya za kwako pia uziache.

Maisha ya mahusiano huwa nayafananisha na nguo za mtumba, ni ngumu kupata inayokutosha vzr. Mara nyingi huwa tunanunua hizo nguo, unaenda kwa fundi, unaipunguza au kuiongeza ili ikutoshe, unaifua na kuipiga pasi then unajilipua nayo! Mahusiano ni vivyo hivyo, chukua mwenza wako, customize,mabadilishe tabia, mshauri, akikufaa endelea naye. Akishindikana achana naye. Simple!
 
jichunguze wewe kwanza cz yawezekana ww ndyo tatzo na hujajigundua.....acha ukicheche
 
Back
Top Bottom