Mimi lawama zote nazielekeza kwa team ya azam fc wametimiza lengo lao la kuikomesha yanga

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
6,967
Reaction score
17,452
Figisu kwa team ya young African zilianza kwenye match dhidi ya azam ile match tulioangalia wote tutakubaliana hapa kuwa azam alipania kuwaumiza wachezaji nyota wa young African kwa makusudi ili kuwakomoa kutokana na mgogoro uliokuwa umeibuka baina ya team hizo mbili na kupelekea yanga kupata majeruhi wawili ambao ni tegemezi yaoyao na pacome.

Mchezo ule umeigharimu yanga kwenye ligi ya mabigwa pakubwa sana.

Bila yanga kuwa wapole siku ile hali ingekuwa mbaya zàidi.
 
Huu sasa Uchawi, Hii ni ishara kwamba wewe ni bingwa wa kupiga ramli. Jambo likiisha songambele achana na tabia za kutafuta wachawi, utakuja kufilisiwa au kuishi na tabia za Visasi na Machukizano hadi lini?? Mpira sio vita Mkuu bali mpira ni burudani.
 
Azam mnawaonea tu. Mmetoka sababu mlipaisha penati.
 
Azam wametukosti sana young African
Roho inauma sana.
 
Azam mnawaonea tu. Mmetoka sababu mlipaisha penati.
Hizo penalty ni matokeo ya mwisho mm nimeongelea chanzo cha fitna na nuksi kwa yanga ni hawahawa azam fc.
 
Back
Top Bottom