mliverpool
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 1,565
- 2,944
Hela hiyo Babu, anajua amekukomoa kumbe ndo amekusidia kulainisha Hali, we sema unatibu hata kwa simu wakurushie hela unawatumia masizi na vifuu vya naziKuna dada nimevunja nae mahusiano ya kimapenzi ila nae kaamua kulipiza kisasi kwa kuchapisha mabango na kuweka namba yangu ya simu kwa chini akisema ni mganga toka sumbawanga anayetibu nguvu za kiume na kuangamiza wachawi.Nifanyeje?
Kaka usimdanganye ajiingize huko maana wachawi hawajaribiwi kama alivyokuwaga yule mzee.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni fursa itumie vema ili kazi iendelee ...
[emoji23][emoji23][emoji23]usijali nitampa kingaKaka usimdanganye ajiingize huko maana wachawi hawajaribiwi kama alivyokuwaga yule mzee.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo mtaani wachawi lazima wamjaribu waone kama kweli ni mganga sasa hapo ajiandae na kifiro!
Hii inanikumbusha miaka ya nyuma kuna jamaa aliibuka kijijini kwetu akitokea mkoa flani hivi akajitangaza nabii eti ameshukiwa na roho mtakatifu ana uwezo wa kuangamiza wachawi wote wa eneo hilo lakini cha ajabu baada ya siku tatu alikutwa asubuhi amelala mkundu juu uchi chini ya mwembe huku hajitambui halafu kachanjwa chale za makalio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Ndugu zake wakamsafirisha fasta sijui kama alipona
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Dawa ya moto ni fire[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Doh!!! Watu wakampelekea moto nabiiKaka usimdanganye ajiingize huko maana wachawi hawajaribiwi kama alivyokuwaga yule mzee.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo mtaani wachawi lazima wamjaribu waone kama kweli ni mganga sasa hapo ajiandae na kifiro!
Hii inanikumbusha miaka ya nyuma kuna jamaa aliibuka kijijini kwetu akitokea mkoa flani hivi akajitangaza nabii eti ameshukiwa na roho mtakatifu ana uwezo wa kuangamiza wachawi wote wa eneo hilo lakini cha ajabu baada ya siku tatu alikutwa asubuhi amelala mkundu juu uchi chini ya mwembe huku hajitambui halafu kachanjwa chale za makalio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Ndugu zake wakamsafirisha fasta sijui kama alipona
Unapendae?Doh!!! Watu wakampelekea moto nabii
Nini?Unapendae?
Mimi sijambo sijui wewe.Nini?
Chapisha na wewe bango la kukanusha uwe unaweka kila alikobandikaKuna dada nimevunja naye mahusiano ya kimapenzi ila naye kaamua kulipiza kisasi kwa kuchapisha mabango na kuweka namba yangu ya simu kwa chini akisema ni mganga toka Sumbawanga anayetibu nguvu za kiume na kuangamiza wachawi.
Nifanyeje?
Unanikumbusha uchaguz mkuu nilikuwa ktk timu ya kampen ya mgombea ubunge upinzan,ktk mpango mkakat wa kumchafua mgombea wa chama tawala tukatengeneza mabango kuwa kabomolewa tukabandika ktk mistimu yote pale jimbon wakat tunakaribia kumaliza tukapata taarifa kutoka kwa wenzetu kuwa maeneo yote tuliyobandika mabandiko yetu hayapo na yamebandikwa ya mgombea wetu kuwa mchicha mwiba ikawa balaa baada ya kuendelea kubandika tukalazimika kuanza mchakato wa kutafuta mabango yote yanayomuhusu mgombea wetu na kuyatoa kabla hayajaonekana.Chapisha na wewe bango la kukanusha uwe unaweka kila alikobandika