Kaka usimdanganye ajiingize huko maana wachawi hawajaribiwi kama alivyokuwaga yule mzee.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo mtaani wachawi lazima wamjaribu waone kama kweli ni mganga sasa hapo ajiandae na kifiro!
Hii inanikumbusha miaka ya nyuma kuna jamaa aliibuka kijijini kwetu akitokea mkoa flani hivi akajitangaza nabii eti ameshukiwa na roho mtakatifu ana uwezo wa kuangamiza wachawi wote wa eneo hilo lakini cha ajabu baada ya siku tatu alikutwa asubuhi amelala mkundu juu uchi chini ya mwembe huku hajitambui halafu kachanjwa chale za makalio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Ndugu zake wakamsafirisha fasta sijui kama alipona