Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Hatari sana mkuu.Mmmmhhh
Mkorogo ama ugojwa??Hayo maajabu nimekutana nayo leo hii na usiku huu.
Kariakoo.
Achana na yule jamaa ni habari nyingine.Mkorogo ama ugojwa??
Mkuu umepata habar za mtu naitwa mng'oa kucha?
Huyo akikwambia hutaiona March nenda kamwombe radhi.Huyu mng’oa kucha ni nani? Naona jina lake lina -trend sana humu ndani
HUjamueleza ni nani?Huyo akikwambia hutaiona March nenda kamwombe radhi.
Bado sijazipata mkuu hizo taarifa... Hila naona hizo habari humu Jf zimeenea sana... Hebu mnijuze kwanza huyo mng'oa kucha ni binadamu au shetani mkuu?Mkorogo ama ugojwa??
Mkuu umepata habar za mtu naitwa mng'oa kucha?
Naogopa hata kumtaja lakini kuna HAKIMU hapa Dar alimletea za kuleta akaleta Uzi humu akisema mwezi Wa mwisho kuumaliza ni January, na akatuma wanaomfahamu huyo HAKIMU wakamwambie, hamadi Jana HAKIMU karest in peace.HUjamueleza ni nani?
Ni kwamba mchawi sana au?Huyo akikwambia hutaiona March nenda kamwombe radhi.
Ni mtu mmoja kachukua kombe la mshana jr hiv hiv tukishuhudiaBado sijazipata mkuu hizo taarifa... Hila naona hizo habari humu Jf zimeenea sana... Hebu mnijuze kwanza huyo mng'oa kucha ni binadamu au shetani mkuu?
Alisema feb haiishi tayar!!! Nawaza shekhe angemtumia huyHuyu mng’oa kucha ni nani? Naona jina lake lina -trend sana humu ndani
Huenda Huyu mama ni mgonjwa na wala cyo kajipaka kama Wewe ulivyoonaNo comment.... [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]
Si ndio hapo mie mwenyewe nataka nijuwe.HUjamueleza ni nani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkorogo ama ugojwa??
Mkuu umepata habar za mtu naitwa mng'oa kucha?