Mimi leo napita tu!!!

Mimi leo napita tu!!!

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,713
5b5d4ee68cc14cd506d09885a08ed6ac.jpg
6d76c9f85686016d875790db1eb0dec6.jpg
a06831e5badc2e565c517dce2554d84f.jpg
79581b6e907feb3c12b9697caa3acd4c.jpg
1a3ed0fc01353f269edc79967c0ea724.jpg
No comment.... [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]
 
Hayo maajabu nimekutana nayo leo hii na usiku huu.
Kariakoo.
 
Ndo nani huyo mng'oa kucha wakuu, alikuwa nani nchi hii?
 
Huyu mng’oa kucha ni nani? Naona jina lake lina -trend sana humu ndani
 
Mkorogo ama ugojwa??


Mkuu umepata habar za mtu naitwa mng'oa kucha?
Bado sijazipata mkuu hizo taarifa... Hila naona hizo habari humu Jf zimeenea sana... Hebu mnijuze kwanza huyo mng'oa kucha ni binadamu au shetani mkuu?
 
HUjamueleza ni nani?
Naogopa hata kumtaja lakini kuna HAKIMU hapa Dar alimletea za kuleta akaleta Uzi humu akisema mwezi Wa mwisho kuumaliza ni January, na akatuma wanaomfahamu huyo HAKIMU wakamwambie, hamadi Jana HAKIMU karest in peace.

##KATUBU USAMEHEWE##
 
Bado sijazipata mkuu hizo taarifa... Hila naona hizo habari humu Jf zimeenea sana... Hebu mnijuze kwanza huyo mng'oa kucha ni binadamu au shetani mkuu?
Ni mtu mmoja kachukua kombe la mshana jr hiv hiv tukishuhudia
 
5b5d4ee68cc14cd506d09885a08ed6ac.jpg
6d76c9f85686016d875790db1eb0dec6.jpg
a06831e5badc2e565c517dce2554d84f.jpg
79581b6e907feb3c12b9697caa3acd4c.jpg
1a3ed0fc01353f269edc79967c0ea724.jpg
No comment.... [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]
Huenda Huyu mama ni mgonjwa na wala cyo kajipaka kama Wewe ulivyoona

Naona na vidole vya mikono viko kama alivyo usoni

Ungemuacha tu mama wawatu kuliko kumpiga picha na kuja kumdhalilisha umu.
 
Back
Top Bottom