Uchaguzi 2020 Mimi Leslie Oscar Mbena ninayejulikana pia kama Msemakweli Chakubanga, natangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Morogoro Mjini

Nimekudharau hapo uliposema umesoma Masters Mzumbe!

Masters za Mzumbe ni za kununua tu. Ushahidi ninao. Ukibisha naushusha hapa.

Ni bora hata aliyesoma VETA au Amazon Catering College kuliko MBA za Mzumbe.
Shusha ushahidi sio unachafua tu brand za watu
 
Halafu hajajibu yote kayakimbia
Nasubiri akujibu!😀
Alifikiri kuwa praise team mitandaoni inatosha kumpitisha kura za maoni..
Post zake zote anaacha na namba zake za simu, hawajampigia kaona aje kivingine.

Humu tu kafeli, huko mbele ya Mkiti ataweza??

Everyday is Saturday.......................... 😎
 
Nakuunga Mkono

Tumemchoka Mwarabu na mabasi ya kuzikia na kugeuza Jimbo Kama Uswahilini
 
Umetoa ahadi ambazo haziwezi kutekelezeka, labda useme tu ukweli kuwa unataka kupiga hela kama mwenzio Abood na Kibajaji.
Mkuu wana siasa karibu wote ni waongo wanatoa ahadi nyingi kwa wananchi wakisha pewa kura huwaoni tena hata majimboni kwao hawaendi kuwatembeleana kujuwa Shida za Wananchi walio wapa kura zao. Wanasema maneno matamu ya uongo Wana Siasa lakini vitendo vyao ni ovyo tu. Mimi Hakuna hata Mwana Siasa mmoja ninaye muamini.
 
Mkuu Bvora Tukuchague uwe Rais waJamii forums maana hatuna Rais hmu Jamii forums. Humu hakuna Sera ili mradi ujuwe kuzngumza vizuri usitukane watu tutakuchaguwa humu uwe Rais wetu unasemaje?
 
Nimekuelewa Mzee wa dezeti,namjua vizuri Abood na hila zake ndio maana nimemuingia,
 
Mzee pambana naona unafuata nyayo za mshua.

Sisi wanakihonda wote tutakupa kura za ndiyo.

Bigwa, Kigurunyembe, Kilei, Forest, Chamwino, Modeko, Mafisa, 88, Msamvu hadi 77 tutaungana kupata ushindi..
 
Siyo umeanza kampeni asubuhi mkuu. Jimbo lipo, walugulu wapo, ingawa mazingira yake ni magumu, sijui utawaambia kitu gani kuhusu yale mabasi ya misiba.
Wokeee... mabasi ya misiba ndio jambo muhimu kwa wana Moro sio?
Daah TShirts bila nguo za chini, chumvi bila mkaa na kitoweo vimeduwaza sana wadanganyika...
 
Mzee pambana naona unafuata nyayo za mshua.

Sisi wanakihonda wote tutakupa kura za ndiyo.

Bigwa,Kg,kilei,forest, chamwino, modeko, mafisa, 88, msamvu hadi 77 tutaungana kupata ushindi..
Shukrani sana kiongozi, hakuna mwarabu wala muhindi atakae iletea Maendeleo Morogoro, Sisi wazawa wa Morogoro, watoto wa Morogoro ndio tutailetea Maendeleo Morogoro Mjini.
 
Shukrani sana kiongozi,hakuna mwarabu wala muhindi atakae iletea Maendeleo Morogoro,Sisi wazawa wa Morogoro,watoto wa Morogoro ndio tutailetea Maendeleo Morogoro Mjini.
Angalizo;

Jiepushe na kauli za kibaguzi mkuu kuna watu walikosa nafasi kwa mambo kama haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…