Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
Nimekuelewa Mzee wa dezeti,namjua vizuri Abood na hila zake ndio maana nimemuingia,
Hao unaowasema ndiyo wanaipaisha kiuchumi morogoro na miradi yao mashamba, biashara ya Usafiri n.k Miaka nenda rudiShukrani sana kiongozi,hakuna mwarabu wala muhindi atakae iletea Maendeleo Morogoro,Sisi wazawa wa Morogoro,watoto wa Morogoro ndio tutailetea Maendeleo Morogoro Mjini.
Ila huyu jamaa Kuna kitu kachungulia tusimbezeumepita baba
Mimi nimetaka kuangua kicheko. MTU mwenye elimu ya chuo kikuu eti anagombea kwa sababu ya imani yake kwa Rais Magufuli?Hizo sera kama ukizisema sehemu ya watu wenye akili timamu basi lazima upopolewe mawe
Mkuu nimesoma neno kwa neno sera zako kwa kweli hazina mashiko! Kesho kaa chini urudie kusoma ulichokiandika,wewe mwenyewe utagundua hilo.
We
We sema unajipromoti ili ukumbukwe UDC basi lengo lako Ni identity
sisi tu nawatia moyo tu 😂Ila huyu jamaa Kuna kitu kachungulia tusimbeze
Maana Kuna fununu abood anaweza asigombe mwaka huu hiyo ni kutoka kwa watu wake wa karibu
Ila fununu bado
Ova