Na kwako pia LB.BBKama kichwa cha habar kinavyo someka hapo juu
Aman iwe nanyi wapendwa
Mimi BOY FROM LONDON nawatakia siku kuu njema ya wapendanao
Nawatakia kupendana kwema, mpendane had siku ya kiama na mungu abariki upendo wenu
Pia vile vile nawatakia siku njema ya upako wa majivu
Mbalikiwe sana wapendwa mimi nawapenda sana wana JF WENZAGU
sikukuu njema wote
LONDON BOY
Wifi yako hanaga noma sana vileOky kwann hujamtag Wifiii yangu jaman au unataka kuchepuka na mtu mwingine alafu kesho uamke domo limevimbaaa kwa kuchezea virungu
Alafu mbn hujanipa information za shule ndo umeamua kukaa mtaani tu tafadhali usje kuwa mariooo bureee
Kama kichwa cha habar kinavyo someka hapo juu
Aman iwe nanyi wapendwa
Mimi BOY FROM LONDON nawatakia siku kuu njema ya wapendanao
Nawatakia kupendana kwema, mpendane had siku ya kiama na mungu abariki upendo wenu
Pia vile vile nawatakia siku njema ya upako wa majivu
Mbalikiwe sana wapendwa mimi nawapenda sana wana JF WENZAGU
sikukuu njema wote
LONDON BOY
Ni ndugu yangu yule mkuu