Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Kama kichwa cha habar kinavyo someka hapo juu
Aman iwe nanyi wapendwa
Mimi BOY FROM LONDON nawatakia siku kuu njema ya wapendanao
Nawatakia kupendana kwema, mpendane had siku ya kiama na mungu abariki upendo wenu
Pia vile vile nawatakia siku njema ya upako wa majivu
Mbalikiwe sana wapendwa mimi nawapenda sana wana JF WENZAGU
sikukuu njema wote
LONDON BOY