Mimi Masudi Kipanya na safari yetu ya miaka 100

Masudi Kipanya mbona kwenye picha hapo amefanana sana na Marehemu Rais Magufuli? isije kua tumeachiwa urithi wa tabia mbaya hapa kwa vijana wetu na mwendazake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I see..Magu alikufanya Nini kiongozi?
 
Mzee,wewe Ni mtu makini..na msomi mwenye kujitambua..japo natofautiana na wewe mambo flani flani..lakini nakuheshimu Sana..
Ikitokea ukatangulia..watu wengi watasema ukweli huu
Leonard,
Ahsante sana.
 
Kumbe bado kijana!
 
Huyu mzee ni baharia kweli af watu wanamchukuliaga labda ustaadh flan ao ukisikia wazee wa kitengo kitambo ndio hao sio fala huyu Mzee nashangaa kuna madogo wanamchukuliaga poa

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Dude...
Nakusoma katikati ya mistari.

Akili yako inakataa kukubali kuwa unachosoma kinatoka kwa mtu aliyepata elimu ya juu
Kumbe bado kijana!
Kolola,
Wallahi nacheka peke yangu.
Mimi ni mzee nina miaka 69.

Mama yako hapa nikikosea jambo nasema mie nishazeeka nisameheni jibu lake ni, "Una uzee gani unatufanyia karaha unasingizia uzee!"

Ngoja nitakuwekea picha ya ujana wangu In Shaa Allah.

Studio za BBC Glasgow, Scotland 1991.

 
Kumbe 69 mie 70 ujue! Nilikuwa nakuita mzee nilifikiri Upo kati ya 85-90
 
Mungu akujaalie umri mrefu na afya yenye faida na we. Ilikua haina haja hata ya kujielezea kwa watu wasiofuatilia maswala ya nchi yetu ilipotoka na inapokwenda (Watu wanaoendeshwa na kejeli badala ya kuendeshwa na kutafuta elimu).

Sisi tunao kufahamu, japo ni wadogo na hatujafikia umri wa miaka 30+, hatuhitaji maelezo kuhusu uwezo wako wa historia na ulioyaandika na kuyafanya. Tunakufahamu Mohamed Said kupitia vitabu na makala zako zenye madini ya kila aina, na tunatambua uwezo wako mungu aliokujaalia. Mashaallah.

Ramadhan Kareem.
 
Huyu mzee ni hazina ya taifa katika Historia yetu. Niliwahi kumsikiliza akitoa mhadhara katika Chuo Kikuu cha Northwestern kule Chicago. Yuko vizuri sana na msimchukulie poa...Ndiyo ameegemea kwenye Uislamu lakini pia ni vigumu kuwatenga wazee wake na Historia ya awali ya Nyerere na ukombozi wa Tanganyika na wazee wake Waislamu akina Sykes na wengineo.
 
Ila Mzee BBC Scotland unasema ilikua 1991 wakati picha inasema 2007!

Ufafanuzi tafadhari!
Mg,
Wakati napiga picha hii 1991 camera zetu zilikuwa za kuweka Kodak Film kisha unasafisha negative.

Zilipokuja digital camera nikawa nacopy picha zangu ili nizihifadhi katika computer.

Hiyo ndiyo sababu umesoma tarehe hiyo kwenye copy ya picha niliyopiga 1991.
 
Shimba,
Kumbe ulikuwapo siku ile kwenye ukumbi wa Eduardo Mondlane!
 
Alexander...
Amin.
 
Duh.
 
πŸ™πŸ™πŸ™ Mohamed Said umenifunza busara.
Hongera mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…