Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Udini ukizidi hugeuka ujinga ndio kinachotokea kwako.
Humjui huyu Babu ndio maana unapayuka tu hapa.Azarel mwache mzee wa watu apumue ana mengi ayajuayo,kwa faida ya sisi wa kati na nyie wapya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udini ukizidi hugeuka ujinga ndio kinachotokea kwako.
Humjui huyu Babu ndio maana unapayuka tu hapa.Azarel mwache mzee wa watu apumue ana mengi ayajuayo,kwa faida ya sisi wa kati na nyie wapya.
Dude...
Nakusoma katikati ya mistari.
Akili yako inakataa kukubali kuwa unachosoma kinatoka kwa mtu aliyepata elimu ya juu
Kolola,
Wallahi nacheka peke yangu.
Mimi ni mzee nina miaka 69.
Mama yako hapa nikikosea jambo nasema mie nishazeeka nisameheni jibu lake ni, "Una uzee gani unatufanyia karaha unasingizia uzee!"
Ngoja nitakuwekea picha ya ujana wangu In Shaa Allah.
Studio za BBC Glasgow, Scotland 1991.
View attachment 1755714
Last...Asante Mkuu.. umenikumbusha kuhusu Prof Mazrui, kuna kitabu chake matata sana kinaitwa The Trial of ....(nimesahau). Yule bwana ni genius
Asante sana mkuu. Yule Bwana Mazrui ilikuwa ni tunu ya Africa. Extra ordinary geniusLast...
...Christopher Okigbo.
View attachment 1759946
Katikati ni Prof. Ali Mazrui kulia ni mimi na kushoto Tamim Faraj
Nile Hilton, Kampala 2003.
Wewe ni dhahabu hata wakupitishe kwenye moto utaendelea kung'aa.Oto...
Sina kawaida ya kumkejeli mtu wala kujaribu kumfanya ajihisi si lolote si chochote.
Hapakuwa na haja ya hiyo ''kwikwikwi.''
Hakuna radio mashuhuri duniani ambayo haijanitafuta kufanya mahojiano na mimi.
View attachment 1755319
Hapa niko BBC Glasgow, Scotland 1991
View attachment 1755320
Hii ni V o A Washington 2011
View attachment 1755324
Radio Iran,
Myetu,Wewe ni dhahabu hata wakupitishe kwenye moto utaendelea kung'aa.
Last...Asante sana mkuu. Yule Bwana Mazrui ilikuwa ni tunu ya Africa. Extra ordinary genius
| Prof. Mazrui Kivutio Cha Wengi |
Asante 🙏Last...
Naingia Maktaba kukutafutia taazia niliyomwandikia.
Schmidt,MS, namna gani naweza kuwa Muislamu na mimi unianzishie uzi wa kijingajinga humu ndani sababu ya jina langu la Kiarabu?
Last...Asante 🙏
Wee mzee bana, sasa hapo kuna tusi kweli? Hivi yule mhafidhina na sidekick wako wa miaka ile ya JK Gombesugu alishafarikigi kwa corona au labda kwa ukimwi kutokana na lawiti za miaka na miaka ya vivulana vya madrassa? Nadhani akisoma hii post yangu kokote aliko kama kweli alikufa atafufuka japo kwa dakika sifuri halafu afe tena.Schmidt,
Haifai kutukanana.
Huo si uungwana.
Labda kitengo hiki alichochagua ...Na anakitumikia vyema!Huyu mzee ni baharia kweli af watu wanamchukuliaga labda ustaadh flan ao ukisikia wazee wa kitengo kitambo ndio hao sio fala huyu Mzee nashangaa kuna madogo wanamchukuliaga poa
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Asante sana Mzee Mohamed Said kwa kuniheshimisha, kwa kuchukua muda wako na kunitafutia tanzia uliyomwandikia Msomi gwiji wa Africa na dunia mzima Prof Ali Mazrui. Kupitia tanzia uliyomwandikia, nimepata fursa ya kumjua zaidi Prof Mazrui hasa juu ya haiba yake njema ya unyenyekevu na kuchangamana na watu wa aina zote bila ubaguzi na kujiona bora. Naomba uendelee kutujuza zaidi juu ya magwiji mbalimbali ambao hatujui undani wao,lakin kumbe kuna mengi ya kujifunza juu yao, kama ulivyofanya kwa Prof Mazrui. Kwa mara nyingine nasema asante kwa uungwana wako 🙏Last...
Nakusihi sana uisome hii yote wala usione tabu naamini utafaidi sana.
Nitakuwekea vionjo kidogo ili ufungue mlango na pazia yake na madirisha yote:
Link ni hii:
![]()
TAAZIA YA PROF. ALI MAZRUI 1933 - 2014
Prof. Ali Mazrui Ndugu msomaji wangu, Awali ya yote ningependa kwanza kabisa kukutahadharisha kuwa watu walibarik...mohamedsaidsalum.blogspot.com
Hivi hapo chini ni vionjo:
Last...Asante sana Mzee Mohamed Said kwa kuniheshimisha, kwa kuchukua muda wako na kunitafutia tanzia uliyomwandikia Msomi gwiji wa Africa na dunia mzima Prof Ali Mazrui. Kupitia tanzia uliyomwandikia, nimepata fursa ya kumjua zaidi Prof Mazrui hasa juu ya haiba yake njema ya unyenyekevu na kuchangamana na watu wa aina zote bila ubaguzi na kujiona bora. Naomba uendelee kutujuza zaidi juu ya magwiji mbalimbali ambao hatujui undani wao,lakin kumbe kuna mengi ya kujifunza juu yao, kama ulivyofanya kwa Prof Mazrui. Kwa mara nyingine nasema asante kwa uungwana wako 🙏
Asante sana mkuu 🙏Last...
Wewe ni muungwana zaidi ndugu yangu.
Si mara nyingi hukutana na mtu wa mfano wako.
Ahsante sana.
Kumbe ulikuwa na nywele kabisaDude...
Nakusoma katikati ya mistari.
Akili yako inakataa kukubali kuwa unachosoma kinatoka kwa mtu aliyepata elimu ya juu
Kolola,
Wallahi nacheka peke yangu.
Mimi ni mzee nina miaka 69.
Mama yako hapa nikikosea jambo nasema mie nishazeeka nisameheni jibu lake ni, "Una uzee gani unatufanyia karaha unasingizia uzee!"
Ngoja nitakuwekea picha ya ujana wangu In Shaa Allah.
Studio za BBC Glasgow, Scotland 1991.
View attachment 1755714
Nchi...Kumbe ulikuwa na nywele kabisa
Haha Babu acha kutuchekesha eti "kipara ngoto"Nchi...
Hahahaha...
Ujana una raha zake!
Siku hizi mzee wako ni kipara ngoto.