Mimi Masudi Kipanya na safari yetu ya miaka 100


Mzee wetu kumbe ni handsome boy. Mwenyezi Mungu akuongoze katika majukumu yako
 
Asante Mkuu.. umenikumbusha kuhusu Prof Mazrui, kuna kitabu chake matata sana kinaitwa The Trial of ....(nimesahau). Yule bwana ni genius
Last...

...Christopher Okigbo.


Katikati ni Prof. Ali Mazrui kulia ni mimi na kushoto Tamim Faraj
Nile Hilton, Kampala 2003.
 
MS, namna gani naweza kuwa Muislamu na mimi unianzishie uzi wa kijingajinga humu ndani sababu ya jina langu la Kiarabu?
 
Asante sana mkuu. Yule Bwana Mazrui ilikuwa ni tunu ya Africa. Extra ordinary genius
Last...
Naingia Maktaba kukutafutia taazia niliyomwandikia.

Hii ni link:


Hicho hapo chini ni kionjo katika vionjo vingi:

''Tukiwa katika mkutano ule tulialikwa chakula cha jioni nyumbani kwa mmoja wa wajukuu wa Badru Kakungulu na Prof. Ali Mazrui alipoombwa kuzungumza alieleza uhusiano wake na viongozi wa Uganda na khasa ukoo wa Kabaka ambao ni mmoja na akina Kakungulu.

Alisema kuwa mtoto mdogo akikuwa pale Mombasa, Kabaka Mutesa alitembelea Mombasa na katika hadhira moja Kabaka alizungumza na watu wa Mombasa.

Kabaka alitoa hotuba yake kwa Kiingereza na mkalimani wake alikuwa Ali Mazrui. Prof. Mazrui akaieleza hadhira ile kuwa Kabaka Mutesa alikuwa akizungumza Kiingereza kwa lafidhi ya Kizungu khasa kiasi ambacho ikiwa humuoni utadhani anaezungumza ni Muingereza mwenyewe.

Sasa katika mazungumzo na kijana mdogo Ali Mazrui Kabaka alishangazwa sana na umahiri wa Ali Mazrui katika kusema Kiingereza.

Huu ukawa ndiyo mwanzo wake wa kufahamiana na Kabaka Mutesa na Prince Badru Kakungulu alipokuja Uganda kusomesha Makerere.''

Prof. Mazrui Kivutio Cha Wengi
Aliyevaa Suti ni Kabaka Edward Mutesa na Pembeni yake ni Badru Kakungulu
Picha Hii Ilipigwa Mwaka wa 1955.
 
Asante πŸ™
Last...
Nakusihi sana uisome hii yote wala usione tabu naamini utafaidi sana.
Nitakuwekea vionjo kidogo ili ufungue mlango na pazia yake na madirisha yote:

Link ni hii:

Hivi hapo chini ni vionjo:
 
Schmidt,
Haifai kutukanana.
Huo si uungwana.
Wee mzee bana, sasa hapo kuna tusi kweli? Hivi yule mhafidhina na sidekick wako wa miaka ile ya JK Gombesugu alishafarikigi kwa corona au labda kwa ukimwi kutokana na lawiti za miaka na miaka ya vivulana vya madrassa? Nadhani akisoma hii post yangu kokote aliko kama kweli alikufa atafufuka japo kwa dakika sifuri halafu afe tena.
 
Asante sana Mzee Mohamed Said kwa kuniheshimisha, kwa kuchukua muda wako na kunitafutia tanzia uliyomwandikia Msomi gwiji wa Africa na dunia mzima Prof Ali Mazrui. Kupitia tanzia uliyomwandikia, nimepata fursa ya kumjua zaidi Prof Mazrui hasa juu ya haiba yake njema ya unyenyekevu na kuchangamana na watu wa aina zote bila ubaguzi na kujiona bora. Naomba uendelee kutujuza zaidi juu ya magwiji mbalimbali ambao hatujui undani wao,lakin kumbe kuna mengi ya kujifunza juu yao, kama ulivyofanya kwa Prof Mazrui. Kwa mara nyingine nasema asante kwa uungwana wako πŸ™
 
Last...
Wewe ni muungwana zaidi ndugu yangu.
Si mara nyingi hukutana na mtu wa mfano wako.

Ahsante sana.
 
Kumbe ulikuwa na nywele kabisa
 
Mzee Mohamed, hongera sana kwa kutujuza na kutupatia mafunzo mengi kupitia makala zako! Barikiwa sana! Hakika wewe ni Manju Uliyebobea katika Mawanda Mapana ya Historia, Uandishi Vitabu, Habari na Makala Mbalimbali! [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…