Mimi Masudi Kipanya na safari yetu ya miaka 100

Prof Mazrui alisema nini kuhusu Satanic Verses??
 
Bulamba,
Miaka mingi sana imepita sikumbuki nini alisema.
Asante Said.

Kuna huyo Profesa Gurnah wa Zanzibar ambaye naye amepewa tuzo ya nobel ya fàsihi.

Sasa watu wanamponda kwa sasa alifanya kazi ya uhariri ya kitabu cha "Satanic Verses" cha Salman Rushdie.

Ndio mama nilikuwa na shauku ya kutaka kujua msimamo wa wasomi kama Prof.Maxrui kuhusu kitabu cha Satanic Verses
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…