Mimi mgeni huku. Naomba company yenu

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Nilikuwa na mood yangu iko mchanganyiko mpaka nimejikuta nimefurahi walaqhi'..!
Yaani. Vinafurahisha sana hivi vitu mdogo wangu.

Kuna uzi mwingine nimeona nao kuna mwenzie naye kajitupia ila ndio hajaweka namba. πŸ˜…πŸ˜…
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
yule wa Kigoma?? Nimemuona C'ssy nikacheka kwa uchungu jamani.!
Huyo huyo Sadik. 🀣🀣🀣

Nadhani hawajausoma huu mtandao wakiwa guest wakajua mambo yanakwendaje humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…