Mimi mgeni humu JamiiForuns

Mimi mgeni humu JamiiForuns

Nafirimba

Senior Member
Joined
Apr 23, 2017
Posts
111
Reaction score
62
Nigan JF user
Aisee mm humu nimgeni ndio kwanza nimejiunga !! Nilitaka kulisongesha katika idara za business,Mapenzi, siasa na mambo mengine ya kijamii!!
Naomba ushirikiano na tupeana Raman
Kama kuna sheria za kimtandao
Au
Za hii App ya JF bas s mbaya mkanitonya
Elimu darasa 7 !!
 
Back
Top Bottom