nashukuru sana mkuu[emoji120]FORUM RULES
JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you. You MUST read them and comply accordingly
Read more...
Ukishuka chini kwa Wall utaona maneno kama haya bofya Read more utapata unachokitaka..
But make sure uko makini yn mtu akikutukana ucmjibu inawezekana ni mkeo au ndg yako nae ana fake id hapa jf. So ucjarb kutengeneza mabf na watu usiowajua mtu akikujibu vbaya just ignore, nakushauri tuyaah ofcoz nimeona juu ni vile kule "ig" hakuend poa people wanatalk umbea kila paali lakin hapa jf watu mnajenga hoja sana
kitu ingine nafurahishwa nayo ni majina yenye iko huku [emoji23] [emoji23] [emoji23]
na why mnajiita ivyo??
before mi nasign in nilikuwa naangalia majina yenye iko huku so wonderfully
ila inapendeza sana b'coz unajenga hoja na mtu pengine iko mugadishu na wewe unakuwa hujui..
hii kitu inakuwa iko very sensitive sana.....
Safi sana, umeulizwa unatokea County, naona ni marneo mmeyaweka baada ya Katiba mpya, huku kwetu nahisi ni mikoa, mko vizuri na kila County (Mkoa) nasikia Mkuu wa mkoa anachaguliwa kwa Kura au nimekosea? ni Wabunge tu. Mikoa wanateuliwa ma Rais? nisaidie majibu hayo jirani yetunashukuru sana mkuu[emoji120]
"i dont think so" ila haiwagi ivyoSafi sana, umeulizwa unatokea County, naona ni marneo mmeyaweka baada ya Katiba mpya, huku kwetu nahisi ni mikoa, mko vizuri na kila County (Mkoa) nasikia Mkuu wa mkoa anachaguliwa kwa Kura au nimekosea? ni Wabunge tu. Mikoa wanateuliwa ma Rais? nisaidie majibu hayo jirani yetu
Wenye bahati zao, hadi anapokelewa na staff wa JF, mie maskini nilipokelewa na Asprin na BAK hahahahahahahaKaribu sana JF Mkuu comedian,
Ni fahari kujiunga nasi.
Hapa sote tunawajibika bila kujali itikadi zetu tulizonazo kwa kuzingatia sheria zinazotuongoza > JamiiForums Rules.
Tunakutakia kila la heri na uwepo wako uwe ni wenye faida.
Asante.
ok hakuna namna naeza eleza ukaamini nipo kenya once elewa ivyo nipo kenyaAkaunti ya tatu hii mkuu............Hakuna Kenya wala nini hapa..............
Rudi kaage alikotoka,na ufanye matambiko kabisa.Maana huku mh....Wakuu,
Baada ya kutumia mitandao mingi ya kijamii kama Facebook, Instagram, Twitter; leo nimekuja humu JF.
Naombeni mnipe sheria za huku.
Oviaz(obviously) niko mgeni sana. Taifa langu Kenya.
Jina yangu halisi "makidonyo oduenga".