Mimi mgeni kutoka Instagram

Mimi mgeni kutoka Instagram

FORUM RULES

JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you. You MUST read them and comply accordingly


Read more...

Ukishuka chini kwa Wall utaona maneno kama haya bofya Read more utapata unachokitaka..
nashukuru sana mkuu[emoji120]
 
Karibu sana na pia epuka lugha za mkatomkato mfano.
Xaxa, xim xafi.
Neno inahuu(kama we ni wakike)
Watu huku wamejitambua wako watu wa kila rika viongozi na wasio viongozi, jifunze kuzuia jazba hasa pale unapokuwa crashed.
Naamini baada ya mwezi utajiona ulivyopoteza muda wako kwenye mitandao isiyo na tija.
NB. Ukabila na utengano wa Utaifa hauhitajiki
humu.
Heshimu kila mtu pia soma sheria Jamii walizokuwekea kupata mwanga zaidi karibu sana By Sunola.
 
yaah ofcoz nimeona juu ni vile kule "ig" hakuend poa people wanatalk umbea kila paali lakin hapa jf watu mnajenga hoja sana
kitu ingine nafurahishwa nayo ni majina yenye iko huku [emoji23] [emoji23] [emoji23]

na why mnajiita ivyo??

before mi nasign in nilikuwa naangalia majina yenye iko huku so wonderfully

ila inapendeza sana b'coz unajenga hoja na mtu pengine iko mugadishu na wewe unakuwa hujui..

hii kitu inakuwa iko very sensitive sana.....
But make sure uko makini yn mtu akikutukana ucmjibu inawezekana ni mkeo au ndg yako nae ana fake id hapa jf. So ucjarb kutengeneza mabf na watu usiowajua mtu akikujibu vbaya just ignore, nakushauri tu
 
nashukuru sana mkuu[emoji120]
Safi sana, umeulizwa unatokea County, naona ni marneo mmeyaweka baada ya Katiba mpya, huku kwetu nahisi ni mikoa, mko vizuri na kila County (Mkoa) nasikia Mkuu wa mkoa anachaguliwa kwa Kura au nimekosea? ni Wabunge tu. Mikoa wanateuliwa ma Rais? nisaidie majibu hayo jirani yetu
 
But make sure uko makini yn mtu akikutukana ucmjibu inawezekana ni mkeo au ndg yako nae ana fake id hapa jf. So ucjarb kutengeneza mabf na watu usiowajua mtu akikujibu vbaya just ignore, nakushauri tu
asanteh sana mkuu
 
Safi sana, umeulizwa unatokea County, naona ni marneo mmeyaweka baada ya Katiba mpya, huku kwetu nahisi ni mikoa, mko vizuri na kila County (Mkoa) nasikia Mkuu wa mkoa anachaguliwa kwa Kura au nimekosea? ni Wabunge tu. Mikoa wanateuliwa ma Rais? nisaidie majibu hayo jirani yetu
"i dont think so" ila haiwagi ivyo
 
Karibu sana JF Mkuu comedian,

Ni fahari kujiunga nasi.

Hapa sote tunawajibika bila kujali itikadi zetu tulizonazo kwa kuzingatia sheria zinazotuongoza > JamiiForums Rules.

Tunakutakia kila la heri na uwepo wako uwe ni wenye faida.

Asante.
Wenye bahati zao, hadi anapokelewa na staff wa JF, mie maskini nilipokelewa na Asprin na BAK hahahahahahaha
 
Karibu mkuu lkn nahisi ww sio mkenya unatuekitia ... ni mawazo yangu tu lkn ...
 
Akaunti ya tatu hii mkuu............Hakuna Kenya wala nini hapa..............
ok hakuna namna naeza eleza ukaamini nipo kenya once elewa ivyo nipo kenya
afu na kitu ingine nawazaga kwan kenya ni paali watu hawaishi kuna hatar nikawa mkenya peke yangu humu jf
 
Wakuu,

Baada ya kutumia mitandao mingi ya kijamii kama Facebook, Instagram, Twitter; leo nimekuja humu JF.

Naombeni mnipe sheria za huku.

Oviaz(obviously) niko mgeni sana. Taifa langu Kenya.

Jina yangu halisi "makidonyo oduenga".
Rudi kaage alikotoka,na ufanye matambiko kabisa.Maana huku mh....
 
Back
Top Bottom