Mimi mgeni, naomba kukaribishwa

Kwa majina naitwa Kelvin Masalu Mhela,naomba kujiunga na jukwaa hili kwani limenivutia sana.Natanguliza shukrani zangu,asanteni sanaView attachment 2083358
Karibu sana Kelvin Masalu. Endelea kufurahia kutumia mtandao wa Jamii Forums huku huku ukizingatia sheria na kanuni zilizowekwa. Kwa kuwa wewe unatumia jina lako halisi, nakushauri uwasiliane na uongozi wa Jamii Forums na kuwatumia kitambulisho chako kinachotambuliwa na Serikali ili waweze kukuweka kama Verified User.
 
Piga pichs nyingine hizi picha za kucheka chess hazitakiwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…