Mimi mgeni, naomba kukaribishwa

Mimi mgeni, naomba kukaribishwa

Kelvin Masalu

New Member
Joined
Nov 19, 2018
Posts
1
Reaction score
4
Kwa majina naitwa Kelvin Masalu Mhela,naomba kujiunga na jukwaa hili kwani limenivutia sana.Natanguliza shukrani zangu,asanteni sana
FB_IMG_1633014635930.jpg
 
Kwa majina naitwa Kelvin Masalu Mhela,naomba kujiunga na jukwaa hili kwani limenivutia sana.Natanguliza shukrani zangu,asanteni sanaView attachment 2083358
Karibu sana Kelvin Masalu. Endelea kufurahia kutumia mtandao wa Jamii Forums huku huku ukizingatia sheria na kanuni zilizowekwa. Kwa kuwa wewe unatumia jina lako halisi, nakushauri uwasiliane na uongozi wa Jamii Forums na kuwatumia kitambulisho chako kinachotambuliwa na Serikali ili waweze kukuweka kama Verified User.
 
Piga pichs nyingine hizi picha za kucheka chess hazitakiwi
 
Back
Top Bottom