Mimi mgeni naombeni mnipokee

Mimi mgeni naombeni mnipokee

Binti Sayuni03

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2025
Posts
1,075
Reaction score
1,913
Habari za wakati huu wana JF, natumai mu wazima wa Afya. Mimi ni mgeni humu nimejiunga mwaka huu. Kuna vitu vingi nilikuwa sivijui nashukuru kwasasa kiasi naelewa.

Napenda kushukuru kwa uongozi wote wa JF pamoja na members wote kwa ujumla kwani kila siku navyopitia baadhi ya thread za watu nazidi kujifunza mambo mengi. Asanteni tuendelee kuwa pamoja.
 
Usituchose hapa, jitafute bana!
 
Back
Top Bottom