Mimi mgeni ndio kwanza naingia leo

Mimi mgeni ndio kwanza naingia leo

Mkonga100

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
660
Reaction score
495
Husika na kichwa cha hapari hapo juu naomba kupatiwa amri kumi za jf
 
Rule namba wani.
Ili ubaki salama humu usiungane na wale wamteteao "his one and only Son" vinginevyo karibu.
 
Usiwe mtetezi wa wauza ngada Bila kujijua
Achana na viwanda vya uwongo
Usiamini chadema ni wazushi Sana ni jalala
Usitongoze humu ndani mademu wote ni wetu wana watu wao
HAPA KAZI TU
 
Usiwe mtetezi wa wauza ngada Bila kujijua
Achana na viwanda vya uwongo
Usiamini chadema ni wazushi Sana ni jalala
Usitongoze humu ndani mademu wote ni wetu wana watu wao
HAPA KAZI TU
[emoji23] [emoji23] [emoji115] ahsante
 
Mkonga100 the big rule ni kuwa "tetea wote ila hata kama kwa bahati mbaya USIMTETEE POMBE TAFADHARI"
 
Back
Top Bottom