Miss_Irene
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 320
- 455
😲😲Karibu mrembo
Hebu jitambulishe kidogo unapatikana wapi bila kusahau kuweka namba ya simu ili watu wawze kukupa ushauri vizuri na kirahisi zaidi
Ndio utaratibu wetu humu jf
@Katoto kadhuri mbona washangaa , we hakufanya huu utaratibu kwan[emoji44][emoji44]
mod walifuta uzi wng@Katoto kadhuri mbona washangaa , we hakufanya huu utaratibu kwan
Nami nataka kuwamo.Walasalamu ndg. zangu
Mimi mgeni wenu jamani, ndo kwanza nimejiunga na Jamiiforums leo
Nimepata habari za huu mtandao kutoka kwa rafiki yangu, ameniambia kuwa hapa naweza pata ushauri, ujuzi, marafiki hata bwana pia [emoji38][emoji38][emoji38] (am joking)
Naomba mnipokee jamani
Oooh pole jamen, basi niandikie huo uzi wako wa kujitambulisha pm , ili tushauriane kirahisimod walifuta uzi wng
njoo uchangie kwenye mada yngOooh pole jamen, basi niandikie huo uzi wako wa kujitambulisha pm , ili tushauriane kirahisi