Miss_Irene
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 320
- 455
- Thread starter
- #61
Wee ulishaweka za ukweli??? [emoji38][emoji38][emoji38]sasa mamy mbona unaweka za uongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee ulishaweka za ukweli??? [emoji38][emoji38][emoji38]sasa mamy mbona unaweka za uongo
Hahaha hahahaYaani ni shida ni kwikwi.
itabidi mkuuTuanzishie uzi kabisa hili[emoji3][emoji3]
Umekuja na gar ganiWalasalamu ndg. zangu
Mimi mgeni wenu jamani, ndo kwanza nimejiunga na Jamiiforums leo
Nimepata habari za huu mtandao kutoka kwa rafiki yangu, ameniambia kuwa hapa naweza pata ushauri, ujuzi, marafiki hata bwana pia [emoji38][emoji38][emoji38] (am joking)
Naomba mnipokee jamani
KaribuWalasalamu ndg. zangu
Mimi mgeni wenu jamani, ndo kwanza nimejiunga na Jamiiforums leo
Nimepata habari za huu mtandao kutoka kwa rafiki yangu, ameniambia kuwa hapa naweza pata ushauri, ujuzi, marafiki hata bwana pia [emoji38][emoji38][emoji38] (am joking)
Naomba mnipokee jamani
Nashukuru nimekikubali cheo hikiKaribu sana,kuanzia leo wewe ni mkuu!
Lol0677 026 381
Nini tena jamani?Hahahaha Lol
Nna shaka na hyo namba yako bwanaNini tena jamani?
[emoji28][emoji28][emoji28]Murembo karibu, chura ipo?[emoji6][emoji6][emoji6]