Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,508
- 2,619
Ok, kwa nini umeamua kujiunga JF na kwa faida ya nani?Asante kwa ukaribisho mkuu.
Asee sina talent yoyote... na kuhusu proffesion pia sina ujuzi wowote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok, kwa nini umeamua kujiunga JF na kwa faida ya nani?Asante kwa ukaribisho mkuu.
Asee sina talent yoyote... na kuhusu proffesion pia sina ujuzi wowote.
Boss[emoji1][emoji2088]Hmm[emoji52]
[emoji137]Kwema modeBoss[emoji1][emoji2088]
Kwemaa boss, za siku?[emoji137]Kwema mode
Nzuri sana, mtembeze mgeni aone maeneo ya utaliiKwemaa boss, za siku?
Ok, kwa nini umeamua kujiunga JF na kwa faida ya nani?
Karibu mgeni..Kuna jukwaa letu pendwa la kula tunda kimasihara naomba upitie na utuelezee eskpiriensi yako ya kutafuna papuda kimasihara
Subiri waje kukupeleka kwenye Hilo jukwaa..na matunda utayapata kule ya kila Aina.Mmmh sijaelewa.. kwani wanagawa matunda humu? If yes naomba unigaie mkuu.
Binafsi sijaliona hilo jukwaa.. waweza nipeleka kama hutojali.
Subiri waje kukupeleka kwenye Hilo jukwaa..na matunda utayapata kule ya kila Aina.
Mbona nimekuwa mkarimu eti..wenyeji wa ule mtaa wa masihar watakuja kukupa mwongozo..Mimi mwenyewe kule mgeni.Nilitegemea utakuwa mwenyeji wangu mkarimu, utanipeleka kwenye hilo jukwaa wewe mwenyewe na tunda utanipea wewe mwenyewe
Au nilikuwa wrong kufikiria huo ukarimu wako kwangu mimi mgeni? Maana wewe ndio ulionitoa tongo tongo kuhusu hilo jukwaa.
Mbona nimekuwa mkarimu eti..wenyeji wa ule mtaa wa masihar watakuja kukupa mwongozo..Mimi mwenyewe kule mgeni.
Hao watakaokupa muongozo ndiyo wanamatunda Sasa.