Mimi mgeni

Mimi mgeni

nethighlife

Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
55
Reaction score
22
Hodii, habari za leo ndugu.
Leo ndo nimejiunga, naomba mnifundishe namna ya kutumia JF, naona vitu tofauti na mitandao mingine.
But all in all im happy to be in this site.
 
Hodii, habari za leo ndugu.
Leo ndo nimejiunga, naomba mnifundishe namna ya kutumia JF, naona vitu tofauti na mitandao mingine.
But all in all im happy to be in this site.
Tatizo lako umeanza na uzi kabla ya picha yako ndo maana hukaribishwi kwa heshma!!ila kwangu mimi karibu sana mkuu!!swali kwako we ni ke au ni me!!
 
Back
Top Bottom