Mwenzaka alikuwa anqjiita baraka govi amelambwa ban kwanza, halafu amebatizwa jina upya na mods sasa anaitwa Baraka G, kwa hiyo akitoka segerea ataona jina jipya, na wewe kiandae kuitwa Mkulu P.
Aisee najihisi una umri chini ya miaka kumi na mbili, je mambo ya humu ndani utayaweza?Hod umu ndan.... kwa heshima na taadhima naomba kukaribishwa umu ndan udambwiudambwi na udagadagaa wa umu jamvin umenivuti....naomba kukalibishwa tafadhali....
Thnk... outside the box bfore talkin... siamini kama we unaimba taarabu
mshana jr, hebu tuachane na huyu mgeni wetu wa leo. Tuendelee na shughuli zetu nyingine za kawaida.U knw wat... m ckujui... so nakujua kupitia ua comment en talk... had saiv broo huna kitu kichwan... ucwe mkubwa wa umri tu... kua kiakili....
Aisee najihisi una umri chini ya miaka kumi na mbili, je mambo ya humu ndani utayaweza?
U knw wat... m ckujui... so nakujua kupitia ua comment en talk... had saiv broo huna kitu kichwan... ucwe mkubwa wa umri tu... kua kiakili....
We jamaa ni wakili pia... mbna unajibia watu.... nazid kuprove ujinga wako
Bado hainizuii kukushauri na kukupa changamoto! Huo ni mtazamo wako kwangu ni haki yako ambayo sina ugomvi nayo!!! Shida ni moja tuu je uko genuine kiasi gani? Zikubali changamoto za jamvini upanue ufahamu
iv nan mwene akili kati ya mm mwene jina na wewe unaebisha jina hulijui
Halafu acha lugha za kifacebook andika kiswahili fasaha hizo swaga huku sio deal kabisa