Mimi mkulupumbu

Mimi mkulupumbu

Mwenzaka alikuwa anqjiita baraka govi amelambwa ban kwanza, halafu amebatizwa jina upya na mods sasa anaitwa Baraka G, kwa hiyo akitoka segerea ataona jina jipya, na wewe kiandae kuitwa Mkulu P.

Asee usuharibu jna langu.. uclitenganishe ili upate ilo neno unalolitaka wewe naitwa MKULUPUMBU...
 
Last edited by a moderator:
You 'THINK' ok that's good kid!!! Keep it up

U knw wat... m ckujui... so nakujua kupitia ua comment en talk... had saiv broo huna kitu kichwan... ucwe mkubwa wa umri tu... kua kiakili....
 
Hod umu ndan.... kwa heshima na taadhima naomba kukaribishwa umu ndan udambwiudambwi na udagadagaa wa umu jamvin umenivuti....naomba kukalibishwa tafadhali....
Aisee najihisi una umri chini ya miaka kumi na mbili, je mambo ya humu ndani utayaweza?
 
U knw wat... m ckujui... so nakujua kupitia ua comment en talk... had saiv broo huna kitu kichwan... ucwe mkubwa wa umri tu... kua kiakili....

Bado hainizuii kukushauri na kukupa changamoto! Huo ni mtazamo wako kwangu ni haki yako ambayo sina ugomvi nayo!!! Shida ni moja tuu je uko genuine kiasi gani? Zikubali changamoto za jamvini upanue ufahamu
 
Hamna changamoto had saiv.... na huwez kunishaur jina langu... then kama nkipanua ufaham nakuwa kama wewe kiruuuu bora nijitoe
 
Halafu acha lugha za kifacebook andika kiswahili fasaha hizo swaga huku sio deal kabisa

Sio swaga izo napunguza uredu wa txt... then huna akili wala busara ya kunifunza kitu.... waachie wene hekima
 
Msisahau kutoa mchango kwajili ya kutembelea wagonjwa hapo August nane. Tunawaomba wote wenye kuguswa na hili wachangie kwa hali na Mali kwenye namba ya JF. Blessed
 
Wapendwa nawasalimu katika Jina la YESU naomba muende kanisani.
 
Back
Top Bottom