Mimi mkulupumbu

Mimi mkulupumbu

Mkulumbu

Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
39
Reaction score
0
Hod umu ndan.... kwa heshima na taadhima naomba kukaribishwa umu ndan udambwiudambwi na udagadagaa wa umu jamvin umenivuti....naomba kukalibishwa tafadhali....
 
Mwenzaka alikuwa anqjiita baraka govi amelambwa ban kwanza, halafu amebatizwa jina upya na mods sasa anaitwa Baraka G, kwa hiyo akitoka segerea ataona jina jipya, na wewe kiandae kuitwa Mkulu P.
 
Last edited by a moderator:
Hod umu ndan.... kwa heshima na taadhima naomba kukaribishwa umu ndan udambwiudambwi na udagadagaa wa umu jamvin umenivuti....naomba kukalibishwa tafadhali....

Karibu hadi ndani sheikh,fungua huko nyuma upakuliwe Kama una njaa,alafu ukaoge,ili kesho tukupeleke kwa balozi wa nyumba kumi Alhaji Mfirani akushugulikie mambo ya ukazi,nadhani utafurahi sana,huu ndiyo ukarimu wa huku kwetu Unakazwa.
 
mkulu maana yak mkubwa ila hpo mbele ndo sjaeleewA
 
Jina lako ulilojipa mwenyewe linaeleza fika wewe ulivyo. mf Bhanunu kwa kingoni ni mwanaume mwenye tabia za kike au bwabwa.
Mkulupumbu kwa kidigo ni yule mwanamme anaepiga ngoma. kwenye ngoma ya ndani ya wanawake ambayo huchezwa uchi. maranyingi wanakuwaga nao ni kama wanawake.
Masaga P. kwa kikurya ni mtu anaependa kuingia uvinza.
Bategereza kwa kikwetu ni mtu msikivu sana na mwenye ng'ombe wengi sana.
So you know m
 
Mzee ulichokosea wewe umekrem... m sio makabila ayo unayotaja... na ilo jina sijajipa... na kwa ujumbe wako tu uo unaonesha we n mtu wa kukurupuka
 
Karibu hadi ndani sheikh,fungua huko nyuma upakuliwe Kama una njaa,alafu ukaoge,ili kesho tukupeleke kwa balozi wa nyumba kumi Alhaji Mfirani akushugulikie mambo ya ukazi,nadhani utafurahi sana,huu ndiyo ukarimu wa huku kwetu Unakazwa.

Ukiiniita shekhe means m n mcha Mungu... we una username nzur lakin akili yako tope... maneno yako ya uswahilin c kila mtu wa uko respect uaself mzee
 
Jina lako ulilojipa mwenyewe linaeleza fika wewe ulivyo. mf Bhanunu kwa kingoni ni mwanaume mwenye tabia za kike au bwabwa.
Mkulupumbu kwa kidigo ni yule mwanamme anaepiga ngoma. kwenye ngoma ya ndani ya wanawake ambayo huchezwa uchi. maranyingi wanakuwaga nao ni kama wanawake.
Masaga P. kwa kikurya ni mtu anaependa kuingia uvinza.
Bategereza kwa kikwetu ni mtu msikivu sana na mwenye ng'ombe wengi sana.
So you know m

Sifa kubwa ya mwene busara c jina zuri.... ni uwezo wa kufkili kabla ya kutamka.... m sio mkurya... umeongea pumba sana... mpaka najiuliza una mimav kichwan au... ulimaanisha nn apo arifu
 
Back
Top Bottom